Habari Za mchana wana jamvi? Nipo kwenye mchakato wa kuanzisha Comunity Based Organization (CBO), Ombi langu ni kwamba ninahitaji msaada wa mambo ya msingi na hatua za kufuata wakati wa usajili wa Community Based Organization (CBO).
Asante
Naomba Kuwasilisha