aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Oct 2, 2013 #1 Hizi benki kama hawa amana bank wanaotoa mikopo bila riba nauliza pesa za kuendeshea ofisi wao wanatoa wapi? Maana faida ndio zinaendesha ofisi ninavyojua
Hizi benki kama hawa amana bank wanaotoa mikopo bila riba nauliza pesa za kuendeshea ofisi wao wanatoa wapi? Maana faida ndio zinaendesha ofisi ninavyojua
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Oct 3, 2013 #2 yawezekana wanapata funds toka mbele