mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 996
- 2,636
okay nashukuruNenda CRDB na slip utapata jibu sahihi zaidi
Wanatoa kwa baadhi ya branches, baadhi wanafanya loan recovery kwanza nadhani ni baada ya athari za watumishi hewa. hata hivyo watafanya loan recovery kwa kipindi fulani then braches zote zitaendelea kutoa loan kama kawaida.Hawatoi tena mikopo mkuu
Hua kuna Objective ways ya ku calculate mkuu kikubwa isizid kiwango kilichowekwa na sheria ya nchi ya ukopaji ya 1/3ya Gross SalaryNaamini take home yako haitazidi 750000 kwa makadirio ya juu.
Kwa kubashiri tu, unaweza kukopa kuanzia milioni 12 hadi 15 kutegemea na tawi si unajua hawa jamaa huwa wengine wanaamua kufumba macho though wakifuata sheria 13 haizidi.
Ni mawazo yangu tu, sina elimu ya ukokotoaji wala nini, unaweza kuniamini au kunipuuza.
Yeah, naamini sasa branches nyingi zimeanza kutoaWanatoa kwa baadhi ya branches, baadhi wanafanya loan recovery kwanza nadhani ni baada ya athari za watumishi hewa. hata hivyo watafanya loan recovery kwa kipindi fulani then braches zote zitaendelea kutoa loan kama kawaida.
Hakuna bank itaweza ku-exist pasopo kukopesha maana deposits haziwezi ku accomodate Bank ku- exist kwa kiasi ambacho kinatakiwa.