msaada kuhusu mimba

DIKE

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
370
Reaction score
156
Habari wana jf . Tumbo langu linazidi kuwa kubwa. Nimepima mkojo mimba sina na period naenda kama kawaida. Naomba kujua kama inawezekana kuwa na mimba na vipimo havionyeshi.
 
hapana ndio kitambi kinaanza hivyo.
 
He? watu8, njoo msaidie bi dada.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jf . Tumbo langu linazidi kuwa kubwa. Nimepima mkojo mimba sina

Jaribu kufika hospitali wakufanyie uchunguzi wa kivipimo zaidi...usipuuzie!!
 
JAMANI MM NILITOA MIMBA MWAKA 2008 NA NIMEOLEWA MWAKA JANA MPAKA SASA SIJAPATA MIMBA NIMEENDA HOSP KUATRASOUND NAAMBIWA SINA TATIZO NA MZUNGUKO WNGU NI SIKU 27- 28 NIFANYE JE NAOMBA MSAADA WENU EMAIL YNG NI batytyma51@yahoo.com
 
Hebu anzisha ya kwako tuchangie vizuri.....
 
Pengine ni matezi yanayoitwa faibroid. Samahani sina hakika na spellings
 
Habari wana jf . Tumbo langu linazidi kuwa kubwa. Nimepima mkojo mimba sina na period naenda kama kawaida. Naomba kujua kama inawezekana kuwa na mimba na vipimo havionyeshi.

Dada una miaka mingapi? Una watoto? Unahisi kuna kitu ukijishika karibu na tumbo la uzazi? Kuna wanawake anaweza kuwa na tumbo linaongezeka kama mjamzito kumbe ni uvimbe ambao unakuwa ndani ya tumbo. Na wengi wao wanakuwaga na uvimbe kwenye ovaries au kwenye mfuko wa uzazi(uterine fibroids.) lakini usisahau pia kuwa tumbo linaweka kuwa kubwa kwa sababu zingine ambazo zinaweza kuwa Faeces, Fluid, Fats, Flatus na Fetus.
 
Nenda hospitali ukafanyiwe vipimo ili kujua kuna shida gani.
 
JAMANI MM NILITOA MIMBA MWAKA 2008 NA NIMEOLEWA MWAKA JANA MPAKA SASA SIJAPATA MIMBA NIMEENDA HOSP KUATRASOUND NAAMBIWA SINA TATIZO NA MZUNGUKO WNGU NI SIKU 27- 28 NIFANYE JE NAOMBA MSAADA WENU EMAIL YNG NI batytyma51@yahoo.com

Usijali nitakutumia email kuna mtaalamu hapa karibu na nilipo ushindwe wewe tu.
 
JAMANI MM NILITOA MIMBA MWAKA 2008 NA NIMEOLEWA MWAKA JANA MPAKA SASA SIJAPATA MIMBA NIMEENDA HOSP KUATRASOUND NAAMBIWA SINA TATIZO NA MZUNGUKO WNGU NI SIKU 27- 28 NIFANYE JE NAOMBA MSAADA WENU EMAIL YNG NI batytyma51@yahoo.com

Sory to ask this, umeshatoa mimba mara ngapi? Ulikuwa unasafishwa? Una miezi mingapi tangu umeolewa? Mumeo anafanya kazi gani? Ana watoto nje? Mnajamïiana mara ngapi kwa wiki?
 
Msiende kumwambia dawa ni ya kuingiza kwa penis na kumtia mimba na kuja kusingizia ni ya mumewf.

Usijali Mkuu, huyu mtaalamu yeye anatumia dawa mubadala na ameshasaidia wanawake wengi tu nikishuhudia mwenyewe, kwahiyo shaka ondoa.
 
JAMANI MM NILITOA MIMBA MWAKA 2008 NA NIMEOLEWA MWAKA JANA MPAKA SASA SIJAPATA MIMBA NIMEENDA HOSP KUATRASOUND NAAMBIWA SINA TATIZO NA MZUNGUKO WNGU NI SIKU 27- 28 NIFANYE JE NAOMBA MSAADA WENU EMAIL YNG NI batytyma51@yahoo.com

Huenda mnajamiiana siku ambayo si ya kupata mtoto, jamiianeni siku ya 12, 13, 14, 15 na 16 baada ya hedhi kama bado kunatatizo
kwa maoni yangu, inawezekana kukawa kunatatizo kwenye sperm au uke wako kuwa na tindikali nyingi sana.

Nashauri
Mmeo akapime sperm count and viability.
Na wewe ukachekiwe uke, may be its too acidic.
 
Yaani myth kama za kijijini!

Na mtoa mada, ujue kile kikaratasi cha kupima mkojo sio confirmative test ya mimba. Nenda hospitali haraka.
Jirani namshauri afike hospitali, sio kila ukubwa wa tumbo ni mimba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…