Msaada kuhusu mkopo katika Bank

Enorme

Member
Joined
May 16, 2015
Posts
13
Reaction score
7
Naomba mnisaidie ndugu zangu. Nna hekari 4 za miti aina ya pines zenye umri wa miaka mitatu (3) nahitaji kwenda kukopa bank na hayo mashamba yawe ndio asset katika huo mkopo na nahitaji 20ml. Je naweza kupata? Na taratibu zake ziko vipi mpaka wakatoa huo mkopo? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Yana hati miliki?? Sio ya kimila bali kutoka Wizarani Ardhi??
 
Ndio yana hati miliki kutoka wizara ya ardhi.
Mi benki nayofanyia hawakopeshi mikopo ya hivyo...nadhani jaribu kuwatembelea crdb ni kama nilishasikia hiyo kitu inawezekana
 
Naona Loan officers wako bize kidogo ....

Ngojeni saa 11 hivi watapita hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…