Msaada kuhusu mkopo

Ballac

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
68
Reaction score
8
Wanajamvi naombeni msaada mzee wangu anataka achukue mkopo.....salary yake 900k takehome naombeni mchanganuo wa ni anaweza kopeshwa maximum kiasi gan kwa slip hyo hapo. Na kutoka bank ipi...?
 
Wanajamvi naombeni msaada mzee wangu anataka achukue mkopo.....salary yake 900k takehome naombeni mchanganuo wa ni anaweza kopeshwa maximum kiasi gan kwa slip hyo hapo. Na kutoka bank ipi...?
Nenda tawi lolote la bankABC - Kitengo cha mikopo watakupa mchanganua, kutegemea mkopo unataka wa muda gani miezi 6, 12 , 18 n.k

Unakamata fedha ndani ya siku 2.
 
usije kopa kaMA HUNA WAZO LA KUZALISHA IYO PESA LINALOFANYA KAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…