msaada kuhusu mkopo

Chrizachriss

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
13
Reaction score
1
hivi wanajamii wanposema mkopo umepewa asilimia mia,inamaanisha kuwa maswala yote,acomodation na kila kitu utalipiwa na serikali.JE KUNA HELA NYINGINE AMBAYO UTAPEWA MBALI HIYO YA CHUO?NAOMBA MSAADA NIPATE UELEWA
 
ngoja uupate kwanza huo mkopo, ndo uelekezwe. U never knw kilicho mbele yako, over
 
Asilimia mia inamaanisha serekali inakupa kila kitu cha muhimu...ada, special faculty money,accomodation money,food and so and so and so..
 
Regstration na hostel serikari haihusiki utahusika wewe mwenyewe uwe na mkopo usiwe na mkopo
OVER...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…