msaada kuhusu mpangilio wa GPA

msaada kuhusu mpangilio wa GPA

4.4-5 1st class
3.5-4.3 upper 2nd class
2.7-3.4 lower 2nd class
2-2.6 pass
0-1.9 danger(disco..)
 
GPA ya chuo gani? Kuna vyuo maximum GPA ni 4, na vingine ni 5
 
GPA za nini wkt hata test 1 hujafanya wala hata group asaiment 1 hujafanya njoo SUA uone kama kuna m2 anapata GPA ya 5, theoretically ipo practically haipo.
 
GPA za nini wkt hata test 1 hujafanya wala hata group asaiment 1 hujafanya njoo SUA uone kama kuna m2 anapata GPA ya 5, theoretically ipo practically haipo.

meona eeh! Af humu kuna baadhi ya wachangia mada wanajifanya wana g.p.a ya 5! jma let talk the true chuon n kugum na hizo g.p.a mpk upate kubwa u should struggle san tena zaid ya san
 
Mkuu nimeweka gpa rank,lakin hiyo ya maximum 4,cjui ni ya chuo gani?
Ila vijana kasomeni haya yote mtayajua baada ya kumaliza 1st semester.
 
duh GPA hapa kabra ya registration? wakisema uende jkt je au na huko kuna GPA?
 
Back
Top Bottom