AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
GPA ya chuo gani? Kuna vyuo maximum GPA ni 4, na vingine ni 5
GPA za nini wkt hata test 1 hujafanya wala hata group asaiment 1 hujafanya njoo SUA uone kama kuna m2 anapata GPA ya 5, theoretically ipo practically haipo.