Wakuu habari zenu???
Nina shahada ya kwanza ya Business Administration, sasa nataka ni i-upgrade to MBA economics and finance, nahitaji chuo maeneo hasa ya moshi na kidogo arusha, kwa anayefahamu kama kunachuo kinachotoa hiyo kozi tafadhari tiririka hapa,
Pia kama Una mbadala wa hii kozi pia sio mbaya kuweka hapa.
asanteni......