Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Napenda kuwatakia asubuhi njema kwa wale wote mlioweza kuiona siku ya leo na bwana awatangulie.
Mimi ni msukuma by nature and nw niko miaka 27 binafsi yangu nimekulia usukumani ambako suala la ulaji au mfumo wa vyakula nilivyokua nakula huko kwa wenyeji mtakua mnajua .Leo hii niko kusini mwa Tanzania kikazi na maisha yanasonga .Sasa bhasi kutokana na ubize wa kazi nimekua najikuta niko bize kiasi kwamba hal hii imekua ikiathiri kwa kiasi kikubwa mfumo mzima wa ulaji wangu wa kila siku .Awali nilikua nikila migahawani na baada ya mda nikaona kabisa kabisa kua afya yangu inakua mbovu kwani hata magonjwa ya kuhara yalikua ndio rafiki mkubwa sana kwangu na ndipo nilipoamua kuachana na ulaji huo nikaanza kujipikia mweyewe nyumbani pindi nitokapo kazini au kabla ya kutoka kazini sasa aina kubwa ya chakula nilichokua nakula mpaka sasa niandikapo ni samaki aina ya sato au kibua wakwenye mafridge na nyama ya ng'ombe na maharage huku nafaka kuu kwangu zikiwa ni mahindi na mchele .Kuna jambo limejitokeza ambalo naona sasa linaniletea matatizo na nisipokua kua makini nahisi nitaangamia kwani nimefanya checkup za afya na nikaambiwa kua sina tatizo lolote ila leo asubuhi nimejichunguza nimegundua kua damu imekua pungufu sana mwilini sasa naomba mnijuze haya
1.Ninataka badili mfumo wangu wa maisha wa ulaji yaani niwemtu wa kula mboga za majani tu maishani na matunda kiasi huku nafaka kuu ikibaki pale pale yaani wali au ugali wa dona ambao ndio naotumia je kutakua na madhara yoyote kiafya.
2.Na kama nikifanikisha hilo je naomba msaada wa kuweza kupangiwa ni mboga za aina ipi niweze zilaau kiujumla nipewe mlolongo wa vyakula ambavyo nitaweza kula kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa mda wa wiki nzima yaani imekama ratiba yangu yangu ya kila siku na visinichoshe au kunikifu