leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Ndugu zangu wanajanvi hapa nilipo nimepigwa na butwaa hata nashindwa nishike lipi naomba nisaidiwe na nguli wa sheria mliomo humu.
Na kwa hili la mtuhumiwa wa uchochezi kupelekwa kupimwa mkojo,alikuwa anachochea kwa kutumia mkojo au?
- Ni kweli kwamba unapowekwa chini ya ulinzi mkamataji anapaswa kukutajia kosa lako ama sababu ya kukamatwa?
- Kama hajakutajia atakuwa sahihi kufanya hivyo kwa kipindi gani?
- Kama amekutajia kosa masalani unatuhumiwa kwa kosa la kupigana hadharani,atakuwa sahihi kukupeleka kupimwa ukimwi?
Na kwa hili la mtuhumiwa wa uchochezi kupelekwa kupimwa mkojo,alikuwa anachochea kwa kutumia mkojo au?