Msaada: Kuhusu mtuhumiwa anapokuwa chini ya ulinzi

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
3,182
Ndugu zangu wanajanvi hapa nilipo nimepigwa na butwaa hata nashindwa nishike lipi naomba nisaidiwe na nguli wa sheria mliomo humu.
  1. Ni kweli kwamba unapowekwa chini ya ulinzi mkamataji anapaswa kukutajia kosa lako ama sababu ya kukamatwa?
  2. Kama hajakutajia atakuwa sahihi kufanya hivyo kwa kipindi gani?
  3. Kama amekutajia kosa masalani unatuhumiwa kwa kosa la kupigana hadharani,atakuwa sahihi kukupeleka kupimwa ukimwi?
La ajabu sasa hivi watanzania tumebaki kulaumiana kivumbi cha wanasiasa wa Tanzania wanavyo tupeleka puta tuambieni tushike lipi, watanzania wako kwenye matanga.
Na kwa hili la mtuhumiwa wa uchochezi kupelekwa kupimwa mkojo,alikuwa anachochea kwa kutumia mkojo au?
 
Hata Mimi nashangaa imekuwaje tena
Mambo yamekuja kuwa ya kupimana mkojo tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…