Msaada kuhusu muda wa kusoma sheria

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
Wanajukwaa naona baadhi ya vyuo sheria ni programme ya miaka mitatu na vingine ni miaka minne. Naomba kufahamu sababu ya hii tofauti
 
Labda mitatu ya sheria mmoja wa muhuri wa advocacy.
 
Hamna tofauti saana zaidi ya kuextend some courses na baadhi kuongezwa huku wengine wakoconsolidate hizo courses eg. Badala ya course kufundishwa miaka miwili inadundishwa mmoja but wote lazima wafundishe mandatory courses ambazo huitajika ili kujiunga law school of Tanzania
 
wnajukwaa naona baadhi ya vyuo sheria ni programme ya miaka mitatu na vingine ni miaka minne. naomba kufahamu sababu ya hii tofauti

Naam, hii inatokana na curriculum ya chuo husika ila cha msingi ni kwamba kila mhitimu wa sheria kuna core courses anatakiwa awe amesoma bila kujalisha amesoma miaka 3 au 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…