Msaada kuhusu multiple admission na TCU confirmation code

Msaada kuhusu multiple admission na TCU confirmation code

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Habari wakuu,

Kumekuwa na changamoto ya ku-confirm chuo kwa waliopata multiple admission, Uki-request code inaonesha code imetumwa lakini haifiki.Dogo kapata loan na inaonesha amepangwa chuo kimojawapo ya vile alivyochaguliwa.

Kuna njia ya tofauti ya kupata confirmation code? Tofauti kuingia kwenye account uliyoombea chuo?

Inawezekana icho chuo kilichojazwa kwenye HESLB loan kimeni-confirm badala yangu?
 
Hyo ipo kuna jamaa angu aliomba TIA na Jordan. moro but mkopo umeenda Jordan ....chaajabu yey e alitaka Ku conferm TIA ...SO unaamua ufuate mkopo au mkopo ukufute
 
Back
Top Bottom