Msaada kuhusu muwasho mkali wa ngozi

Msaada kuhusu muwasho mkali wa ngozi

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.

Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture ilikuwa iko poa sana ila Nikakautwa na uric aacid nyingi mno ya 17mgll. Doctor akasema uric acid hio ndio inayosababisha muwasho mkali huo.

So nikapewa dawa ya kutumia ikiwemo na za mwezi mzima. Leo ni siku ya 18 ila bado muwasho ni mkali na haswa mida ya usiku napata shida sana kuwashwa na kujikuna. Nawashwa sana maenep ya mapajani, kwenye pumbu, ubavuni na miguuni. Muwasho huu hauleti vipele vyovyote na kama vikitokea ni vidogo sanaaa.

Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle na kuona zinasaidia kwa watu wenye muwasho mkali sanaa ambao hautibiki kirahis ila leo ni siku ya nne nimetumia ila bado hali ni kali sana.

Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
 
Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle ila leo ni siku nne ila bado hali ni kali sana.

Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
Labda miti itakusaidia

Yaan ww unatakiwa upigwe miti kisawassawa kuoga miksa kuchemsha na kunywa fasta tu unakuwa sawa

Km unaamin kuhusu miti shamba tembelea kwa wamasai jamaa wana miti mingi sana
 
Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.

Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture ilikuwa iko poa sana ila Nikakautwa na uric aacid nyingi mno ya 17mgll. Doctor akasema uric acid hio ndio inayosababisha muwasho mkali huo.

So nikapewa dawa ya kutumia ikiwemo na za mwezi mzima. Leo ni siku ya 18 ila bado muwasho ni mkali na haswa mida ya usiku napata shida sana kuwashwa na kujikuna. Nawashwa sana maenep ya mapajani, kwenye pumbu, ubavuni na miguuni. Muwasho huu hauleti vipele vyovyote na kama vikitokea ni vidogo sanaaa.

Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle na kuona zinasaidia kwa watu wenye muwasho mkali sanaa ambao hautibiki kirahis ila leo ni siku ya nne nimetumia ila bado hali ni kali sana.

Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
Kuna sindano inachomwa moja tu kila baada ya miezi mitatu, ila siijui ni ipi, nikipata contact za huyu jama iko nje ya nchi nta kupa tu, alisumbuliwa na huo ugonjwa kwa miaka zaidi ya mitano ila kapona kabisa.
 
Duuuuh mkuu si tusaidiane ndugu nimekutumia namba zangu dm kama ukimpata huyu mtu.
 
Labda miti itakusaidia

Yaan ww unatakiwa upigwe miti kisawassawa kuoga miksa kuchemsha na kunywa fasta tu unakuwa sawa

Km unaamin kuhusu miti shamba tembelea kwa wamasai jamaa wana miti mingi sana
Ahsante boss
 
Inaelekea umeshapigwa Miti sana na una endelea kupigwa Miti.

Hili jukwaa vichaa siyo mahala pao.
 
AQUAGENIC PRURITUS . Huo ugonjwa ndivyo inavyoitwa. Hauna tiba wala dawa, wala hauambukizi. Ila unaweza kirithiwa. Kupunguza makali jikune na brash laini. Husioge maji ya baridi au ya moto. Ukimaliza kuoga haraka jikaushe maji na Uvae nguo full. Deal na pale panapowasha Tu Ukiwa ndani ya nguo. Kila la kheri​

Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika.

Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture ilikuwa iko poa sana ila Nikakautwa na uric aacid nyingi mno ya 17mgll. Doctor akasema uric acid hio ndio inayosababisha muwasho mkali huo.

So nikapewa dawa ya kutumia ikiwemo na za mwezi mzima. Leo ni siku ya 18 ila bado muwasho ni mkali na haswa mida ya usiku napata shida sana kuwashwa na kujikuna. Nawashwa sana maenep ya mapajani, kwenye pumbu, ubavuni na miguuni. Muwasho huu hauleti vipele vyovyote na kama vikitokea ni vidogo sanaaa.

Imebidi ninunue vidonge vya fabagentin na tube clobetasol baada ya kugoogle na kuona zinasaidia kwa watu wenye muwasho mkali sanaa ambao hautibiki kirahis ila leo ni siku ya nne nimetumia ila bado hali ni kali sana.

Najua bado sijamaliza dawa wakuu ila angalau kwa muda wote huu muwasho ungekuwa umepungua, so nisaidieni nifanye nini wakuu, nisubirie dozi iishe au kuna namna naweza pata medicatiln ya kunitoa katika muwasho mkali huu.
Kwa upande wa uric acid... Tumia mwani na star anise asubuhi na jioni pia acha kabisa kula nyama nyekundu... Hamia kwenye nyama nyeupe ila siyo kitimoto.

Ongeza portion ya mboga za majani na matunda katika kila sahani yako ya chakula. Punguza portion ya wanga katika sahani yako ya chakula.
 
Kitimoto pia ni nyama nyekundu mkuu.
 
Back
Top Bottom