N nkolaniwe Member Joined Jan 18, 2015 Posts 24 Reaction score 1 Apr 28, 2015 #1 wakuu habari za asubui samahani mstakiwa unaruhusiwa kuongea dukuduku au uonevu wowote juu ya kesi inayoendelea mahakamani mbele ya hakimu anyeendesha kesi husika kabla ya mashahidi kuitwa mahakamani?
wakuu habari za asubui samahani mstakiwa unaruhusiwa kuongea dukuduku au uonevu wowote juu ya kesi inayoendelea mahakamani mbele ya hakimu anyeendesha kesi husika kabla ya mashahidi kuitwa mahakamani?