ni kweli mshara ni mdogo sana yaani ni kama 240000 kwa mwezi na hapo anatakiwa ajigharamie kuanzia nouli,hela ya kula na mengineyo ila mi najua hawa ni kwa customer care na wako chini ya ero link,ero link ni kma madalali wa kazi kwani wao wanachukua tenda voda alafu mshahara wako ndo mnagawana nao na huyo kijana alijua hilo ndo maana akaamua kuachana nao maana ni kama unyonyaji kweli
Wewe ndio mhusika mwenyewe! unasaidiwa halafu unaringa kufanya kazi, kafanye kazi acha mambo ya k.ke!
asante mkuu, nayeye aliomba customer careni kweli mshara ni mdogo sana yaani ni kama 240000 kwa mwezi na hapo anatakiwa ajigharamie kuanzia nouli,hela ya kula na mengineyo ila mi najua hawa ni kwa customer care na wako chini ya ero link,ero link ni kma madalali wa kazi kwani wao wanachukua tenda voda alafu mshahara wako ndo mnagawana nao na huyo kijana alijua hilo ndo maana akaamua kuachana nao maana ni kama unyonyaji kweli
Amefanya uamuzi wa busara sana,angepoteza muda wake na energy yake bure..Voda pale boss mpya aliyekuja kawaambia erolink wafanyakazi wote customer care watakuwa wanalipwa laki mbili na ushee km wakishindwa waache..mbaya zaidi ata wale wa zaman wanarudishwa kwenye mishahara mipya na kuna watu wa siku nyingi walifikisha hadi laki tano sasa watu wanaangaika kukimbia..kifupi hapafai na serikali sijui inafumbia macho kwa nini aya mambo au sababu kampuni ni ya Rostam
fanyeni kazi acheni kuchaguchagua
sasa nanyie mnasapoti huhu ujinga! ulaya watu wanabeba box na wanaishi
sembuse customer care!
fanyeni kazi acheni kuchaguchagua
sasa nanyie mnasapoti huhu ujinga! ulaya watu wanabeba box na wanaishi
sembuse customer care!
fanyeni kazi acheni kuchaguchagua
sasa nanyie mnasapoti huhu ujinga! ulaya watu wanabeba box na wanaishi
sembuse customer care!
asante mkuu, nayeye aliomba customer care
tatizo ni malipo mkuu sio aina ya kazi, kama pesa inasoma tutaafanya tu, we huoni mbeba box ulaya akirudi anatumia hela, wewe hapo customer care si utakuwa na madeni kila siku? issue ni pesa kaka sio aina ya kazi, umenisoma??????
Kinacholalamikiwa ni maslahi na sio kazi, hata kama ni kubeba box kama kunalipa mbona poa sana tu