nyotanjema
Senior Member
- Sep 24, 2011
- 137
- 35
asante kwa matusi yako!We unaejiita Obama wa bogo comment zako atakayekuelewa ni wale ambao hawana akili tu, machizi wenzio, haijalishi iwe customer care au kubeba mabox cha msingi hapa ni maslahi, ulaya wanabeba mabox lakini wanapata kipato kizuri, hawa vadacom wanatufanya watumwa kwenye nchi yetu na serikali ina inachekelea tu, nchi nyingine hawathubutu kufanya huo upuuzi
tatizo ni malipo mkuu sio aina ya kazi, kama pesa inasoma tutaafanya tu, we huoni mbeba box ulaya akirudi anatumia hela, wewe hapo customer care si utakuwa na madeni kila siku? issue ni pesa kaka sio aina ya kazi, umenisoma??????
Wewe ndio mhusika mwenyewe! unasaidiwa halafu unaringa kufanya kazi, kafanye kazi acha mambo ya k.ke!

Mabadiliko ayawezi kutokea kwa kuongelea JF pekee,,,,, Vyombo vya habari vipo ....Tujifunze kutumia vyombo vya habari
Kwani JF sio chombo cha habari ? Wewe utakuwa umekariri chombo cha habari ni kile chenye Mtangazaji tu.
Umesoma seminary gani ? Mbona unafikra za kizamani sana
JF ni chombo cha habari tena chenye sauti kubwa kuliko hiyo Radio na TV yako hapo sebuleni kwako ! Learn it today.....
Wewe ndio mhusika mwenyewe! unasaidiwa halafu unaringa kufanya kazi, kafanye kazi acha mambo ya k.ke!
Kwani JF sio chombo cha habari ? Wewe utakuwa umekariri chombo cha habari ni kile chenye Mtangazaji tu.
Umesoma seminary gani ? Mbona unafikra za kizamani sana
JF ni chombo cha habari tena chenye sauti kubwa kuliko hiyo Radio na TV yako hapo sebuleni kwako ! Learn it today.....
dah
wanawake sisi tunadharauliwa sana
ila sisi ndo mama zenu msijisahau
hapo utajitetea kwa kuandika k.ke!
Haya bwana
wewe kalagabaho what do you mean unaposema mambo ya kike, huuh..!kuna wanawake wengi tu
wanafanya mambo mazuri ya mafanikio hapa duniani kushinda hata mambo ya
kiume, kumbuka mama yako aliekuleta duniani pia ni wa kike, so acha
dharau,watch out kauli zako