Hii huduma ya namba ya Simu sijawahi ona, kwani hujapewa kadi? Nmb chapchap huwa inakadiPoleni kwa majukumu wakuu
Nimefungua akaunti NMB chapchap, nimeenda kwa wakala leo kuweka pesa wameniambia huweza kuweka pesa kwa namba ya simu na wakati wamenipa namba ya simu iwe kama akaunti yangu.
Je hii hudumu nitaweza kuwa na kadi kama akaunti nyengine na je nitapewa namba ya kawaida badala ya hii ya simu?
Ni hayo tu wakuu, poleni kwa majukumu.
Poleni kwa majukumu wakuu

Msaada wa namba ya huduma kwa wateja mkuu
Tumia simu yako neenda kwenye tovuti ya Nmb utaona number zote za msaada....acha uvivu wakutotaka kutumia internetMsaada wa namba ya huduma kwa wateja mkuu