Msaada: Kuhusu noti za dola ya Marekani za zamani na hizi mpya

Msaada: Kuhusu noti za dola ya Marekani za zamani na hizi mpya

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
312
Naomba msaada kujua kama bureau de change za tanzania zinapokea noti za zamani kabla ya hizi za sasa mpya za dola za kimarekani yaani series 2006 mpaka leo
 
Zinapokelewa vizuri sana, actually kwene mzungu wa Tanzania 2006 ni nyingi kuliko za 2013.
 
naomba msaada kujua kama bureau de change za tanzania zinapokea noti za zamani kabla ya hizi za sasa mpya za dola za kimarekani yaani series 2006 mpaka leo

Kama unatoka Marekani bora nenda bank ukabadilishe upate brand new, ingawa marekani hakuna noti ya zamani au le miaka kumi iliyopita zote sawa tu kama ilivyo pesa ya tanzania hakuna ya iliyotoka jana au leo, bora nenda bank kuu Tanzanania watakusaidia kama maduka ya kubadilisha wanakusumbua kichwa.
 
asante mkubwa nimekuelewa zaidi ya nilivyokuwa nafahamu.
 
Bureau huwa tunapokeaga dollar kuanzia 50-100 series 2006 kwenda mbele! Ila hz ndogo ndogo dollar 1,5,10 tunapokeaga series mwsho ya 2000,ila isiwe imechoka choka,yan mikunjo kunjo!
 
Back
Top Bottom