Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
naomba msaada kujua kama bureau de change za tanzania zinapokea noti za zamani kabla ya hizi za sasa mpya za dola za kimarekani yaani series 2006 mpaka leo
Kama unatoka Marekani bora nenda bank ukabadilishe upate brand new, ingawa marekani hakuna noti ya zamani au le miaka kumi iliyopita zote sawa tu kama ilivyo pesa ya tanzania hakuna ya iliyotoka jana au leo, bora nenda bank kuu Tanzanania watakusaidia kama maduka ya kubadilisha wanakusumbua kichwa.
Zinapokelewa vizuri sana, actually kwene mzungu wa Tanzania 2006 ni nyingi kuliko za 2013.