Msaada kuhusu oil kuchanganyikana kwenye clutch assembly katika Trekta

diesel engine

Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
16
Reaction score
32
Msaada.

Nina Tractor yangu kwa jina inaitwa Iseki ni ya Kijapani. Kuna kosa nilifanya oil ikaingia kwenye clutch assembly sasa nauliza je naweza safisha pressure plate au ndo ishakufa hivyo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…