GeniousMbishii
Member
- Jun 22, 2014
- 42
- 7
Naomba msaada wenu wakuu nataka kujua duration (muda) kwa kozi ztolewazo na open ni sawa na duration(muda) za vyuo vya kawaida au?,,,,na ikiwezeka na anaejua fee structure za open,,,,mfano tukichukulia diploma ya ed,,,maana nmesoma detail kwa geogle cjazielewa vzur,,,natanguliza shukurani