GeniousMbishii
Member
- Jun 22, 2014
- 42
- 7
Nadhani ungejaribu kucheki web site yao kwanza. Unaweza pata details nyingi na muhimu
Unatakiwa kusoma c chini ya miaka 3 sawa na vyuo vingne na unatakiwa uchukue unit zisizopungua 38 kwa muda huo kwa mwak wa masomo 2013/2014 walikuwa wanafanya 60000 per unit, mitihani 5000 per unit
Naomba msaada wenu wakuu nataka kujua duration (muda) kwa kozi ztolewazo na open ni sawa na duration(muda) za vyuo vya kawaida au?,,,,na ikiwezeka na anaejua fee structure za open,,,,mfano tukichukulia diploma ya ed,,,maana nmesoma detail kwa geogle cjazielewa vzur,,,natanguliza shukurani