Msaada kuhusu Paypal

Msaada kuhusu Paypal

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wakuu nilikuwa na tatizo kuhusu paypal yangu mara kwa mara na-receive refunds kutoka kwa sellers lakini endapo nikienda kuangalia hiyo pesa kwenye Bank account yangu sioni kitu naombeni msaada kujua hizi pesa huwa zinakwamia wapi ndugu zangu.
 
Je ni benki gani?

- Baadhi ya benki refund hurudi kwenye account yako auto. ndani ya saa 48 hadi 72

- Baadhi ya benki ili kupata refund ni lazima uwasiliane na customer care wa benki husika kwa nia ya simu au email(;ukiwa ume aattach vielelezo.

- Na baadhi ya benk inatakiwa physically ufike zaidi ya mara moja kwenye tawi lao, na utashughulikiwa iwapo utaonyesha ukorofi.

- Pia baadhi ya benki refund utapata baada ya siku 30.
 
natumia CRDB ngugu lakini hili tatizo sijawahi kusaidiwa hata mara moja sijui ni kwanini
 
Kwa CRDB
- Nimekutumia info kwa PM, fanya mawasiliano na wahusika.
- Na Kuwa mvumilivu, watakuingizia fedha yako.
- Kila lakheri
 
Habari wakuu nilikuwa na tatizo kuhusu paypal yangu mara kwa mara na-receive refunds kutoka kwa sellers lakini endapo nikienda kuangalia hiyo pesa kwenye Bank account yangu sioni kitu naombeni msaada kujua hizi pesa huwa zinakwamia wapi ndugu zangu.
Huwa haichukuwi zaidi ya 3 days kama upo nje. ....kwa UK nchi nyingine sijui
 
Kwa CRDB
- Nimekutumia info kwa PM, fanya mawasiliano na wahusika.
- Na Kuwa mvumilivu, watakuingizia fedha yako.
- Kila lakheri
assante mkuu ntalifanyia kazi
 
Pole Sana transfer kutoka PayPal sio automatic kunasteps chakufanya Google au nenda kwenye paypay website kutakuwa na maelekezo.
 
Hili linategemea bank husika.
- Kwa baadhi ya bank ni automatic unapokea fedha yako ndani ya saa 48 - 72
- Na kwa bank zingine ndio hivyo lazima uwasiliane nao ili wakuingizie manually

Mfano hai. (angalia picha)
- Paypal wameirudisha fedha tangu 19/09/2016, Bank husika niliwapa taarifa tarehe 22/09/2016. Wakaaidi kushughulikia.
- Bank husika mpaka muda huu bado wanatoa ahadi ya kuiingiza kwenye account yangu, japokuwa wanaiona fedha kuwa ipo,
- Hakuna steps zozote utakazofanya kwenye account yako ya paypal au online, kinachotakiwa ni kuwa na benki sahihi kwa miamala ya mtandaoni kuepuka huu usumbufu.
- Ni jambo moja tu unatakiwa kufanya kuwasiliana na kitengo husika katika benki husika ili manually wakuingizie hiyo fedha
upload_2016-10-29_10-9-27.png
 
Benki nzuri ni kwa hizi shughuli, yaani ambayo haina ubabaishaji?
 
Hizi bank
- Equity &
- BankABC
Zinafanya vizuri, ndani ya dk. chache unakuwa na kadi iliyotayari kwa matumizi mtandaoni.
 
Kama Mwl. RCT alivyosema hapo juu, benk hizo tajwa hapo juu ABC na Equit ndio the best kwa maswala yote ya online transaction wengine ni vimeo tu waendelee na huduma zingine tu
 
Je ni benki gani?

- Baadhi ya benki refund hurudi kwenye account yako auto. ndani ya saa 48 hadi 72

- Baadhi ya benki ili kupata refund ni lazima uwasiliane na customer care wa benki husika kwa nia ya simu au email(;ukiwa ume aattach vielelezo.

- Na baadhi ya benk inatakiwa physically ufike zaidi ya mara moja kwenye tawi lao, na utashughulikiwa iwapo utaonyesha ukorofi.

- Pia baadhi ya benki refund utapata baada ya siku 30.
je equity mkuu taratibu zake zipoje?
 
je equity mkuu taratibu zake zipoje?
- Ipo kwenye hili kundi
- Baadhi ya benki ili kupata refund ni lazima uwasiliane na customer care wa benki husika kwa nia ya simu au email(;ukiwa ume aattach vielelezo.
Tatizo
- Iwapo malipo ulitumia card direct kufanya manunuzi, mfano, katika mtandao aliexpress,
- Aliexpress kupitia alipay watafanya refund.
- Na kwenye web ya aliexpress utapata ujumbe kuwa refund tayari

ILA SASA TATIZO NI HILI
- Vielelezo vyote toka aliexpress/ alipay havikidhi kuweza kushughulikiwa na equity kupata fedha iliyorudishwa. Huu ni udhaifu mkubwa, hili limenitokea.

Ila iwapo malipo yako ya manunuzi yalipitia Paypal, basi ni rahisi kwa equity kukushughulikia.
Unachotakiwa kufanya ni kufungua Transaction detail ya ile refund (Paypal) na ku_screenshot/ convert iwe pdf, ukurasa husika na kuutuma kwa email, na benki itakushughulikia
 
asante mkuu ni paypal,unaweza nitumie email ya equity kwenye web yao sijaiona.
 
Back
Top Bottom