Je ni benki gani?Habari wakuu nilikuwa na tatizo kuhusu paypal yangu mara kwa mara na-receive refunds kutoka kwa sellers lakini endapo nikienda kuangalia hiyo pesa kwenye Bank account yangu sioni kitu naombeni msaada kujua hizi pesa huwa zinakwamia wapi ndugu zangu.
natumia CRDB ngugu lakini hili tatizo sijawahi kusaidiwa hata mara moja sijui ni kwaniniJe ni benki gani?
- Baadhi ya benki refund hurudi kwenye account yako auto. ndani ya saa 48 hadi 72
- Baadhi ya benki ili kupata refund ni lazima uwasiliane na customer care wa benki husika kwa nia ya simu au email(;ukiwa ume aattach vielelezo.
- Na baadhi ya benk inatakiwa physically ufike zaidi ya mara moja kwenye tawi lao, na utashughulikiwa iwapo utaonyesha ukorofi.
Kwa CRDBnatumia CRDB ngugu lakini hili tatizo sijawahi kusaidiwa hata mara moja sijui ni kwanini
Iweke hapa Mkuu tufaidike woteKwa CRDB
- Nimekutumia info kwa pm
- Si vyema kuweka hapa.Iweke hapa Mkuu tufaidike wote
Huwa haichukuwi zaidi ya 3 days kama upo nje. ....kwa UK nchi nyingine sijuiHabari wakuu nilikuwa na tatizo kuhusu paypal yangu mara kwa mara na-receive refunds kutoka kwa sellers lakini endapo nikienda kuangalia hiyo pesa kwenye Bank account yangu sioni kitu naombeni msaada kujua hizi pesa huwa zinakwamia wapi ndugu zangu.
Hili linategemea bank husika.Pole Sana transfer kutoka PayPal sio automatic kunasteps chakufanya Google au nenda kwenye paypay website kutakuwa na maelekezo.
Hizi bankBenki nzuri ni kwa hizi shughuli, yaani ambayo haina ubabaishaji?
je equity mkuu taratibu zake zipoje?Je ni benki gani?
- Baadhi ya benki refund hurudi kwenye account yako auto. ndani ya saa 48 hadi 72
- Baadhi ya benki ili kupata refund ni lazima uwasiliane na customer care wa benki husika kwa nia ya simu au email(;ukiwa ume aattach vielelezo.
- Na baadhi ya benk inatakiwa physically ufike zaidi ya mara moja kwenye tawi lao, na utashughulikiwa iwapo utaonyesha ukorofi.
- Pia baadhi ya benki refund utapata baada ya siku 30.
- Ipo kwenye hili kundije equity mkuu taratibu zake zipoje?
Tatizo- Baadhi ya benki ili kupata refund ni lazima uwasiliane na customer care wa benki husika kwa nia ya simu au email(;ukiwa ume aattach vielelezo.
asante mkuu ni paypal,unaweza nitumie email ya equity kwenye web yao sijaiona.- Ipo kwenye hili kundi
Tatizo
- Iwapo malipo ulitumia card direct kufanya manunuzi, mfano, katika mtandao aliexpress,
- Aliexpress kupitia alipay watafanya refund.
- Na kwenye web ya aliexpress utapata ujumbe kuwa refund tayari
ILA SASA TATIZO NI HILI
- Vielelezo vyote toka aliexpress/ alipay havikidhi kuweza kushughulikiwa na equity kupata fedha iliyorudishwa. Huu ni udhaifu mkubwa, hili limenitokea.
Ila iwapo malipo yako ya manunuzi yalipitia Paypal, basi ni rahisi kwa equity kukushughulikia.
Unachotakiwa kufanya ni kufungua Transaction detail ya ile refund (Paypal) na ku_screenshot/ convert iwe pdf, ukurasa husika na kuutuma kwa email, na benki itakushughulikia
Pls check PMasante mkuu ni paypal,unaweza nitumie email ya equity kwenye web yao sijaiona.
asante mkuu,.Pls check PM