wandugu naombeni kujuzwa kwa aliewah kusoma au anajua kuhusu POSTGRADUATE DIPLOMA IN EDUCATION pale udsm huwa inatolewa online au ni kawaida? Na malipo yake yakoje?
Mkuu cheki web udsm.ac.tz utapata majawabu. Ila its most likely inasomeka campus na sio online. Sijui kama watakuwa wamekuwa kiasi hicho. Gharama kwa mujibu ya jedwali la ada mpya kwa 2013/14 ni 4,000,000. Ukiacha gharama za malazi na kujikimu.