Msaada kuhusu pressure cooker

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
wakuu habari za jumapili nilkuwa nauliza hivi pressure cooker isiyotumia umeme ipi nzuri kati ile ya mshikio mmoja na ile yenye mishikio miwili ina filimbi mbili na ipi imara sasa me ninayo hii ya mishikio miwili na filimbi mbili kuna filimbi nyeusi na nyekundu hii nyeusi sijui kuitumia nashkuru
 
Aina hiyo sijawahi kuitumia, nilizowahi kutumia ni za mkaaa zenye mishikio miwili na mmoja, ile ya mshikio mmoja ni imara kuliko ya mishikio miwili kwasababu ile ya mishikio miwili kile kipira cha juu kinawahi kupasuka kazi ndio huishia hapo
 
Asante mkuu kwa maelezo mwanana...je ni wapi hapa Dar wanauza hivyo vipira na accessories zingine zinazoendana na P/Cooker?
 
nashkuru mamylove yangu ni ya mishikio miwili nimenunua juzi kumbe nati hazikukazwa ikateleza ikaanguka kimpira cha juu kimepasuka sijui kama naweza kupata accesory ya vimpira
 
Kwa Dar sijajua kama kuna sehemu wanauza, ila kwa huku nilipo nilishapita madukani kuulizia wakaniambia spare hakuna ikabidi ninunue lingine
Asante mkuu kwa maelezo mwanana...je ni wapi hapa Dar wanauza hivyo vipira na accessories zingine zinazoendana na P/Cooker?
 
nashkuru mamylove yangu ni ya mishikio miwili nimenunua juzi kumbe nati hazikukazwa ikateleza ikaanguka kimpira cha juu kimepasuka sijui kama naweza kupata accesory ya vimpira
Sina uhakika kama kuna spare, kesho nitapiga picha nililonalo nikuonyeshr design ninazoziongelea
 
Hii ya kwanza sio nzuri hapo nilipoweka alama ya kiboksi chekundu kuna kua kama na kitaili cha plastiki kwa ajili ya kukaza sufuria baada ya kuifunga na hizo tairi ni rahisi sana kupasuka na zikishapasuka ndio basi tena

Hiyo ya pili hapo kwenye kimshale hicho kidude cheusi kikipotea ndio basi tena ila hili ni imara sana kwasababu hicho unapachika na kukitoa tu
 
@kinywanyuku
 
Hii ndio kama ile picha ya kwanza niliokutumia hicho kitairi cheusi hapo juu ni kibovy mno tena ukiwa unafuna kwa kukaza hakichukui muda kupasuka ike sehemu ilioungiwa na nati
Ahsante mkuu
 
Mkuu Weka picha.maana mi ninayo yenye filimbi 2 orange na nyeusi ila huiita "RICE COOKER" Lakini Ni multpurpose
 
Mkuu Weka picha.maana mi ninayo yenye filimbi 2 orange na nyeusi ila huiita "RICE COOKER" Lakini Ni multpurpose
na mimi ninayo hiyo hiyo yako ina muda gani mkuu me yangu miezi miwili ila niliwahi kuwa nayo hii ya filimbi mbili ikaharibika kitairi nikanunua tena kama hiyo hiyo ninayo mpaka sasa
 
na mimi ninayo hiyo hiyo yako ina muda gani mkuu me yangu miezi miwili ila niliwahi kuwa nayo hii ya filimbi mbili ikaharibika kitairi nikanunua tena kama hiyo hiyo ninayo mpaka sasa
Yakwangu ina miaka 11 tangu June 2007 Hadi Sasa inapiga kazi vizur tu
I'll yangu Ni ya Ujerumani ya kwako je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…