kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
- Thread starter
-
- #21
nimenunua hapa hapa bongo kkoo ya kwanza kitairi kilitoka zote nimenunua kkooYakwangu ina miaka 11 tangu June 2007 Hadi Sasa inapiga kazi vizur tu
I'll yangu Ni ya Ujerumani ya kwako je
weka picha yako niione mkuu maana me npo mbali na homeYakwangu ina miaka 11 tangu June 2007 Hadi Sasa inapiga kazi vizur tu
I'll yangu Ni ya Ujerumani ya kwako je
Nipo safari vijijini mkuu nikiwa home nitaiwekaweka picha yako niione mkuu maana me npo mbali na home
HayaKatika pitapita huko Instagram nimekutana na mataalam wa kurekebisha hizi pressure cooker, labda anaweza kusaidia in future
View attachment 933457cheki
mawasiliano mbona hamnaKatika pitapita huko Instagram nimekutana na mataalam wa kurekebisha hizi pressure cooker, labda anaweza kusaidia in future
View attachment 933457cheki
mawasiliano mbona hamna
Asante mkuu kwa maelezo mwanana...je ni wapi hapa Dar wanauza hivyo vipira na accessories zingine zinazoendana na P/Cooker?
Hicho kifilimbi vinapatikana kwa sh 10,000 nenda maduka ya vyombo ulizia filimbi ya pressure cooker utapata ingawa sio nyingi sanaHii ya kwanza sio nzuri hapo nilipoweka alama ya kiboksi chekundu kuna kua kama na kitaili cha plastiki kwa ajili ya kukaza sufuria baada ya kuifunga na hizo tairi ni rahisi sana kupasuka na zikishapasuka ndio basi tena
Hiyo ya pili hapo kwenye kimshale hicho kidude cheusi kikipotea ndio basi tena ila hili ni imara sana kwasababu hicho unapachika na kukitoa tu
Asante mkuu kwa maelezo mwanana...je ni wapi hapa Dar wanauza hivyo vipira na accessories zingine zinazoendana na P/Cooker?
wakuu habari za jumapili nilkuwa nauliza hivi pressure cooker isiyotumia umeme ipi nzuri kati ile ya mshikio mmoja na ile yenye mishikio miwili ina filimbi mbili na ipi imara sasa me ninayo hii ya mishikio miwili na filimbi mbili kuna filimbi nyeusi na nyekundu hii nyeusi sijui kuitumia nashkuru
Kwa Dar sijajua kama kuna sehemu wanauza, ila kwa huku nilipo nilishapita madukani kuulizia wakaniambia spare hakuna ikabidi ninunue lingine
Hicho kifilimbi vinapatikana kwa sh 10,000 nenda maduka ya vyombo ulizia filimbi ya pressure cooker utapata ingawa sio nyingi sana
Njoo tukurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani
Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu
Pia tunarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, njoo tukurekebishie za kwako, usiweke stoo vitu vyako
facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm
mkuu hicho kitairi cha kufungia kinapatikana dukani au filimbi zile me sijakuelewa filimbi haziharibiki bali kitairi ndio kinaharibikaHicho kifilimbi vinapatikana kwa sh 10,000 nenda maduka ya vyombo ulizia filimbi ya pressure cooker utapata ingawa sio nyingi sana
Wakuu ako kabatan ka rangi nyekundu kana kazi gani kwenye ilyo PRESSURE COOKER?mkuu hicho kitairi cha kufungia kinapatikana dukani au filimbi zile me sijakuelewa filimbi haziharibiki bali kitairi ndio kinaharibikaView attachment 966479
Hata mimi sijui japo ninayo huwa nafunga tuWakuu ako kabatan ka rangi nyekundu kana kazi gani kwenye ilyo PRESSURE COOKER?