Presumption of death is rebuttable,yani inaweza kupinduliwa ukija ushahidi mwingine,kwaiyo kama mtu amerudi baada ya kuwa presumed dead basi anaweza kudai mali zake tokakwa waliogawiwa kwa sababu haki zake na madai yake hurudi mara moja!!Ukisoma sheria ya ndoa inaeleza kuwa mtu akitoweka kwa muda fulan bila kuonekana wala kutopatikana kwa taarifa zake mahakama inaweza kutoa maamuzi ya kusadikika (prusumption of dealth) kuwa huyo mtu kafa.
Sasa swali ni pale mahakama imetoa maamuzi hayo na mali za huyo mtu zimegawiwa kwa warithi wake na baadae akatokea huyo mtu. Nafasi ya sheria ikoje kuhusu kurudisha mali zake na taratibu zikoje kisheria?
Case law, mkuu itapendeza.Presumption of death is rebuttable,yani inaweza kupinduliwa ukija ushahidi mwingine,kwaiyo kama mtu amerudi baada ya kuwa presumed dead basi anaweza kudai mali zake tokakwa waliogawiwa kwa sababu haki zake na madai yake hurudi mara moja!!