Yeah! Mkuu nilikuja huko mwezi ulio pita nikachukua laptop japo ya printer nilikosa sasa mwanza et ndio wana bei hiyo wakata dar ni 750000 hata kama ni cha juu sio hivyoInawezekana hao wa mwanza wanachukua mzigo dar. Na huku ni 750,000/- usafiri kuja huko ni elfu kumi kwa box. Inawezekana kabisa nao wanataka faida kubwa. Ila 805 zipo nyingi sana dar.