Msaada kuhusu punyeto

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Nimewahi kusika moja ya madhara ya kupiga punyeto ni uume kusinyaa na kukosa nguvu za kiume.

Nilikuwa na uliza kuhusu kusinya kwa uume kwa maana kuwa mdogo. Kwa mfano ulikuwa una piga punyeto kwa muda mrefu hadi uume wako ukawa mdogo je ukiacha uume wako utakuwa au hauto kuwa tena?? Naje mtu afanye nini ili aongeza uume wake.

Mwenye yeyote kujua jamani.( Samahani kwa uwandishi wangu kwa maana siyo utani sipo vizuri kwenye uandishi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hoja yako kuu ni kuongeza uume mzee baba?

Unadhani unao mdogo! Unaurefu gani?

Mkeo anauzungumziaje?

Haya ni maswali ya awali ya kitabibu wala usishangae.

Punyeto piga mara moja kwa wiki madhara huyaoni.
 
We! acha hiyo tabia chafu mara moja
 
ukamuuliza una ukubwa gani akasema inch 5" tehe teh. Kwani ukisema ni wewe kuna tatizo
 
Inchi 5 unaona ndogo?

Unajua huo ni urefu wa simu ya Tecno C9 na kama sikosei na Tecno CX? Unadhani mwanamke kuingiziwa nyama ya urefu wa simu za Tecno ni kazi rahisi?

Anyway mi nina inchi 2 na point 7 na haikusababishwa na punyeto.
 
Hamna tatzo kwa maana kuna mtu akanifuta PM akataka namba nikampa akanipigue video call il anisaifie akanikuta nipo mwembamba ty akanitukana nkamwambia n rafk yangu akasema nimpe namba za huyu rafk yangu ili aonge naye yy mwenyewe ndio maana nikajbu ukwel coz tatzo cyo langu n la rafk yangu ila cyo mbaya pia hata nikiwa nime coz kuna watu weng wanashida nahaya mambo kwa kwel
ukamuuliza una ukubwa gani akasema inch 5" tehe teh. Kwani ukisema ni wewe kuna tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh haya ndugu
 
Hahaha.. Hii funika bovu.
Inchi 5 unaona ndogo?

Unajua huo ni urefu wa simu ya Tecno C9 na kama sikosei na Tecno CX? Unadhani mwanamke kuingiziwa nyama ya urefu wa simu za Tecno ni kazi rahisi?

Anyway mi nina inchi 2 na point 7 na haikusababishwa na punyeto.
 
Mbona una wasiwasi kijana mwenzangu? Halafu kama hili suala limekupagawisha kwa kiasi fulani.

Size ya wastani ya uume ni 5.1 mpaka 5.6.. Angalau usishuke chini ya inch 5. Maumbile kuwa makubwa zaidi mda mwengine ni maujiko ya kiasi fulani.

Wanawake wanachojali ni kuridhishwa tu. Ila kwa mwanaume kuambiwa ana maumbile madogo hata kama ya wastani huwa inamfadhaisha sana.
 
Binafsi sijawah ona madhara ya punyeto zaidi ya faida zake za kukuepusha na magonjwa pia mimba zisizotakikana
Ingawa wengi wanahusianisha na upungufu wa nguvu za kiume sijawah jua how?
Na madhara mengine kadha wa kadha ila how?? Ndo sijawah fahamu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…