Msaada kuhusu ramani na design nzuri kwenye kiwanja cha 23×16

Lupe Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
259
Reaction score
910
Nahitaji kujua ni raman ipi nzuri ya nyumba kwenye kiwanja cha 23 × 16 inayoweza kuwa na vyumba vikubwa 3, sebure kubwa dirisha kubwa ...Jiko,store,dinning hata vikiwa vya kawaida sio mbaya... inaweza gharimu tofali kiasi gani...maximum za kutosha kabisa waungwana??
 
Ramani ya nyumba kama hii hapa
 
Nenda ofisi za ardhi za mkoa uliopo hutakosa architec wa kudesign raman ya nyumba yako na atakushauri kila kitu garama etc,all the best.
 
Hii inshu sio simple kma unavyofikili unahitaji wataalam humu utapata majibu ya lasha lasha
 
Sio rahisi kujua idadi ya tofali zitakazotumika kwenye ujenzi bila ya kua na vipimo vya ramani
 
Umenifurahisha kila kitu sebule, vyumba na madirisha wataka vikubwa, ila husemi vipimo...utahitaji nyumba ya kuanzia 150sqm kwenda juu
 
Umenifurahisha kila kitu sebule, vyumba na madirisha wataka vikubwa, ila husemi vipimo...utahitaji nyumba ya kuanzia 150sqm kwenda juu
Vitu vikubwa vina raha yake mkuu, hata kama nyumba sio kubwa sana....
 
14.5m kwa 12m.Ipo, itakufaa na nafasi inabaki

Ukihitaji niPM.
 
14.5m kwa 12m.Ipo, itakufaa na nafasi inabaki

Ukihitaji niPM.
Kama ukihitaji mawazo tu!

Humu utayapata mengi.

Ila kama uko serious na unachokihitaji waweza ni pm.Kwa vile nina ujuzi wa hayo mambo.
 
Hizo 23 x 16 ni mita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…