General B.
Member
- May 18, 2011
- 17
- 0
wana jf kwa anayejua vizuri kuhusu ugonjwa ulozuka i.e RED EYE, naomba anielekeze kiujumla sababu, njia za kuambukiza, jinsi ya kuepuka pamoja na tiba yake kitaalamu maana kila mtu anaongea kadri hisia zake zinavyo mtuma. Nawasilisha!!!!