General B. Member Joined May 18, 2011 Posts 17 Reaction score 0 Mar 24, 2012 #1 wana jf kwa anayejua vizuri kuhusu ugonjwa ulozuka i.e RED EYE, naomba anielekeze kiujumla sababu, njia za kuambukiza, jinsi ya kuepuka pamoja na tiba yake kitaalamu maana kila mtu anaongea kadri hisia zake zinavyo mtuma. Nawasilisha!!!!
wana jf kwa anayejua vizuri kuhusu ugonjwa ulozuka i.e RED EYE, naomba anielekeze kiujumla sababu, njia za kuambukiza, jinsi ya kuepuka pamoja na tiba yake kitaalamu maana kila mtu anaongea kadri hisia zake zinavyo mtuma. Nawasilisha!!!!