fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
samahani wadau hivi mtu mwenye diploma ya hii rulal development huwaana usika na kazi gani..? nina mdogo wangu ameapply diploma ya hiyo rulal development lakini hajui wanahusika na nini naombeni msaada wakuu