hahahaha! dah mkuu nimepiga pale pia! kunaticha yuko pale anaitwa PRUDENCE! na MZEE NYANGU ndo head kwasasa! ila minilisoma wakati wa MZEE MBANGA! mazingira yako fresh tu maji na umeme huwa haukatiki! harafu kuna ticha furani anaiywa NDEKWA nimnoko kichizi! afu utakuwa unaenda kutembea GANZO na MWADUI ukipenda unaweza kuwa MHABESH!
suruali nyeusi na shati nyeupe ila hakuna label (nembo) kabisa pale shybush. Kuhusu umbali kutoka town mpaka maganzo (kituo ambacho shule ipo pia ni kama mji kwa wakazi wa wilaya ya kishapu) ni kutoka ubungo mpaka kibaha ni kama around 50-60 kms.
Nadhani wachangiaji wengi wamekueleza ukweli kuwa ni shule nzuri. Cha msingi jua unaenda kufanya nini maana kama unaenda na usharobaro utafeli, nenda ukijua walimu hawatoshelezi ila mazingira ni mazuri kwa kusoma maana hakuna vishawishi. Nakumbuka wakati napangiwa shule hiyo nilishtuka sana ila nikaenda, katikati ya form v jamaa kibao waliotoka dar wakaomba uhamisho, sisi tukakomaa, na prudence tukawa tunamchangia. Nusu ya darasa la PCB tulifaulu kwa div 1 na 2 na almost 70%-80% ya form six tulikwenda chuo kikuu, lakini wanafunzi wote waliohama na kujiunga na shule mbalimbali kama tambaza na azania day walifanya vibaya sana, hivyo nenda kapige shule.Kuhusu mazingra yake...!
Na info zake.please kama ujui acha.