M makodinda JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 1,540 Reaction score 1,299 Apr 23, 2017 #1 Mdogo wangu anaingia law school mwezi august aliniomba nimuulizie kama shule ya sheria bado wanatoa mkopo au wamesitisha kipindi hiki.....kama bado wanatoa jinsi ya kuomba ni vipi msaada wadau wa sheria
Mdogo wangu anaingia law school mwezi august aliniomba nimuulizie kama shule ya sheria bado wanatoa mkopo au wamesitisha kipindi hiki.....kama bado wanatoa jinsi ya kuomba ni vipi msaada wadau wa sheria
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 761 Reaction score 1,076 Apr 24, 2017 #2 Wamesitisha tangia cohort 19 kama sikosei. Ila ajaribu kuuliza pale sasa hivi labda kuna mabadiliko yamefanyika Jana.
Wamesitisha tangia cohort 19 kama sikosei. Ila ajaribu kuuliza pale sasa hivi labda kuna mabadiliko yamefanyika Jana.