Mpingapumba
Member
- Nov 28, 2012
- 33
- 4
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano mwenye uwezo wa wastani, HGL ndio mchepuo ninaojishughulisha nao. Kwa upande wa geography huwa nina score 60-90 na english 60-85. Historia kwa mazoea huwa ninascore 67 kushuka chini leo
nimescore 30%
nimescore 30%