Mpingapumba Member Joined Nov 28, 2012 Posts 33 Reaction score 4 Feb 23, 2015 #1 Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano mwenye uwezo wa wastani, HGL ndio mchepuo ninaojishughulisha nao. Kwa upande wa geography huwa nina score 60-90 na english 60-85. Historia kwa mazoea huwa ninascore 67 kushuka chini leo nimescore 30%
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano mwenye uwezo wa wastani, HGL ndio mchepuo ninaojishughulisha nao. Kwa upande wa geography huwa nina score 60-90 na english 60-85. Historia kwa mazoea huwa ninascore 67 kushuka chini leo nimescore 30%