GIBA KB
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 367
- 110
Naomba mwenye kunielewesha kuhusu hili suala la utoaji wa ruzuku(grants) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wanafunzi wanaosoma udaktari katika vyuo vya serikali km muhimbili wanapata Ruzuku WOTE.Wale wa vyuo vya binafsi sio wote wanaopata Ruzuku/grant japo wapo baadhi wanaopata.Swali langu ni kwamba kwa nn serikali isitoe ruzuku kwa wanafunzi wote wa udaktari kwa usawa Kwa walio vyuo binafsi na serikali??Wengi walioko vyuo binafsi sio wote walipenda kusoma vyuo hivyo,wengne walipenda kusoma vyuo vya serikali.Naomba mwenye maelezo mazuri ya kulidhisha anisaidie Tafadhari
Cc GIBA KB
Cc GIBA KB