Msaada kuhusu sumu ya nyoka au mdudu!

Msaada kuhusu sumu ya nyoka au mdudu!

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,636
Reaction score
6,178
Wakuu wangu,siku 3 zilizopita nilipatwa na ajali ya kuumwa na nyoka au mdudu mguuni(jirani na kisigino) nilipokuwa nikitoka darasani kuelekea bwenini majira ya saa 7 usiku.Nasema nyoka au mdudu sababu sikumuona sababu ya taharuki na giza lililokuwepo ingawaje hakukuwa na jeraha wala meno ya nyoka.Tatizo nililo nalo ni kuwa nililetwa hospitali nikachomwa (hadi sasa) sindano nne za hydrocortisone sodium succinate lakini effect yake imekuwa taratibu sana kiasi kwamba sipati usingzi usiku kucha kwa maumivu.Pia nesi aliniambia kuwa sindano moja tu huwa inatosha kabisa kumaliza maumivu yote.Je,hii ni kawaida kwangu?Na pia naomba kusaidiwa njia mbadala ili nipone mapema niweze kurudi kwenye ujenzi wa taifa.Natanguliza shukrani wakuu wangu
 
Pole sana! cha muhimu inabidi ufanyiwe uchunguzi ijulikane uliumwa na nini, na sio kubahatisha matibabu!!
 
Kwa kuumwa na nyoka mwenye sumu lazima upate antivenom. Na most of antivenoms ni specific kwa aina ya nyoka aliyekuuma. Kwa mfano ukiumwa na Cobra lazima upate antivenom ya Cobra
 
jaman wenye uzoefu wafunguke coz hata mdogo wangu imemtokea hii na akachomwa hyo sindano lakn hii ni siku ya nne sioni mabadiliko yoyote!
 
Kwa mtazamo Wang kulingana na maelezo ya muhusika inaonekana kabisa ajui nini kimemkuta ila anahisi kama kaumwa na mdudu au nyoka mi namshauli aende hospital kwa uchunguzi zaidi na so kubahatisha some time mwili unaweza kupata effect na we ukaisi kama umengatwa na kitu kumbe ni mwili tu umetoa sign ya kuwa na tatizo inakubidi ufanyiwe ful blood test kama utakuwa name tatizo itajulikana tu by mtazamo wangu
 
Mara nyingi kama nyoka au mdudu yeyote kakuuma funga juu ya ulipoumwa halafu twanga kitunguu maji na ukigandike hapo hadi uone harufu ya kitunguu imeisha na unasikia harufu mbaya sana ujue sumu imenyonywa na kitunguu kinajigandua kinyewe.
Pia waweza nunua antivenom ya wachina inaitwa wild tiger unapakapaka hapo kwenye jeraha. Wanauza duka la dawa. Pia inafaa angikuuma nyuki,nyigu,mchwa nk. Hata kama kichwa kinakuuma sana unapaka tu pembeni kuzunguka kichwa. NB-KUNA AINA 17 ZA MAUMIVU YA KICHWA.Hiyo inatibu karibu aina 10
 
Kwa mtazamo Wang kulingana na maelezo ya muhusika inaonekana kabisa ajui nini kimemkuta ila anahisi kama kaumwa na mdudu au nyoka mi namshauli aende hospital kwa uchunguzi zaidi na so kubahatisha some time mwili unaweza kupata effect na we ukaisi kama umengatwa na kitu kumbe ni mwili tu umetoa sign ya kuwa na tatizo inakubidi ufanyiwe ful blood test kama utakuwa name tatizo itajulikana tu by mtazamo wangu

lakn kwel
 
Back
Top Bottom