Bryce mziba Member Joined Jul 20, 2018 Posts 22 Reaction score 8 Jan 7, 2020 #1 Samahani wakuu, Kwa anayefahamu au alishawahi kununua bidhaa kwa kutumia Sunsky naomba anisaidie kuhusu shipping yao ni ndani ya siku ngapi, na vipi unaletewa mzigo wako mpaka nyumbani au na wao mpaka ukachukue mzigo Posta? Naombeni mnisaidie
Samahani wakuu, Kwa anayefahamu au alishawahi kununua bidhaa kwa kutumia Sunsky naomba anisaidie kuhusu shipping yao ni ndani ya siku ngapi, na vipi unaletewa mzigo wako mpaka nyumbani au na wao mpaka ukachukue mzigo Posta? Naombeni mnisaidie
Bryce mziba Member Joined Jul 20, 2018 Posts 22 Reaction score 8 Jan 7, 2020 Thread starter #2 Bryce mziba, WanaJF msaada wenu