Msaada kuhusu Suzuki swift

Msaada kuhusu Suzuki swift

Byanjweri

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
80
Reaction score
7
Naomba kujua gharama za kuagiza nje gari aina ya suzuki swift, pamoja na upatikanaji wa spea zake.
 
Spea zinapatikana, ila spea ni ngarama sana kulinganisha na toyota.
 
Back
Top Bottom