Silkcoat_store
Member
- Jul 11, 2017
- 8
- 4
Wadau habari za humu.
Naomba ufafanuzi katika hili,
Kuna mzigo nimetumiwa na ndugu kutoka UK kuja Tanzania na amelipia kila kitu kuhusu transport cost.
Sasa nimepigiwa simu na jamaa kutoka Kenya ananifahamisha kwamba huo mzigo upo Kenya ila natakiwa nitume pesa kiasi cha zaidi ya milioni moja ya Tanzania kwa ajili ya security ili mzigo wangu uweze kuja Tanzania.
Sasa napata wasiwasi kwa maana huo mzigo, destination point yake ni Tanzania sasa kwanini Kenya wanaomba hela ili uweze kuja huku, je huo hauwezi kuwa uhuni na wananiambia nitume kwa njia ya mpesa, napata mashaka jamani.
Msaada tafadhali, na mzigo thamani yake hauzidi millioni 5