Msaada kuhusu Taasisi ya Mfuko wa Elimu na Ufadhili (TESA)

Msaada kuhusu Taasisi ya Mfuko wa Elimu na Ufadhili (TESA)

konge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
6,594
Reaction score
41,138
Ndugu Mzazi/Mlezi wa JESSY MBOYE Taasisi yamfuko wa elimu na ufadhili TESA imemchagua mwanao kumdhamini kusomeshwa bweni kidato cha 5 na 6 kwa kumlipia ada yote isipokuwa mzazi/mlezi utachangia chakula na michango midogomidogo tu ya shule kwa awamu nne.

Ufadhili ni katika shule ambazo tunamkataba nazo tu nchini. Ofa hii ni kwa dini zote. kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu DSM ILALA BUNGONI MT. MANYONI NYUMBA NO. 36 au piga simu no 0682581623/0784651501. fursa hii ni ya muda maalumu wahi sasa.


Nimepokea hiyo sms muda huu, je kuna ukweli ktk hili?
 
Huyo itakua ni mwamposa kafungua branch mpya ya utapeli
 
Back
Top Bottom