msaada kuhusu TAMOSE

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
567
Reaction score
115
Waungwana naomba munijuze zaidi kuhusu hizi svholarship za msumbiji je ni vigezo gani wanaangalia ili upate scholarship ? Pia ni vyuo gani vya msumbij hao waliopata scholarship watapelekwa kusoma? Na hii scholarship huwa ni kwa kila mwaka au vp?nawasilisha
 

Hao watoa scholarship hii hawajaweka majibu unayouliza???!
 
Hao watoa scholarship hii hawajaweka majibu unayouliza???!
Hawajaweka mkuu mi nimeona tu kwenye tcu guidebook ambapo wameonyesha kozi unazoweza somea huko msumbiji basi .maelezo zaidi hawajaweja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…