MSAADA KUHUSU TATIZO LA KIUNGULIA

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mke wangu ni mjamzito anasumbuliwa na kiungulia sana.Yaani chochote anachokula anatapika naombeni ushauri au Tiba ya kumsaidia.
 
Hapo nadhan ungewauliza pia bibi au babu walioko shamba huwa wanazijua dawa za asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…