said macho
Member
- Nov 12, 2016
- 8
- 3
Habari wana Jf
Tatizo langu ngozi yangu ya uso inakuwa inajitengeneza vipele mpaka inafikia kama jipu na ukivishika unahisi kama vimetunga usaha ila avijitengenezi pakutokea inaweza ikakauka ila sehemu nyingine kinatokea kinakuwa hivyo na vinauma naombeni msaada